Through the Simiyu Climate Resilience Project (SCRP), targeted messages were delivered to raise public awareness and inspire communities to take action and adapt to the impacts of climate change. Below are the push messages sent to community members between July and August 2024.
31 Jul 2024
Katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, mkulima wa Simiyu unashauriwa kutumia mbinu janja za kilimo ikiwemo matumizi ya mbegu bora zinazostahimili ukame.
In response to climate change, the farmer in Simiyu is advised to use smart farming techniques, including the use of improved drought-resistant seeds.
4 Aug 2024
Habari! Mimi Mkuu wa Mkoa wa Simiyu naagiza kujenga choo bora na kukitumia na kuzingatia utupaji wa taka kwa usahihi ili kuhimili mabadiliko ya tabianchi.
Hello! I, the Simiyu Regional Commissioner, order the construction and proper use of quality toilets and the correct disposal of waste to withstand climate change.
8 Aug 2024
Ewe mfugaji, ufugaji wa kisasa na matumizi ya Ngitili husaidia kuwa na mifugo yenye afya bora na kukuongezea kipato maradufu? Anza sasa, uone tofauti.
You, livestock keeper, modern livestock farming, and the use of Ngitili (enclosed grazing areas) help to have healthier animals and double your income. Start now and see the difference.
20 Aug 2024
Ndugu, Mchongo mpya Simiyu! Ujanja ni kutunza vyanzo vya maji na miundombinu yake ili kuhimili mabadiliko ya Tabianchi, Anza sasa.
Friend, a new deal in Simiyu! The smart move is to protect water sources and their infrastructure to withstand climate change. Start now.